The Best of Ati… Kwani… Jokes

December 28, 2012
by

Lifted From Facebook and Twitter, the following are some of the best Ati_____ , Kwani _____? jokes.

 

ati mat ni 300 kwani nashuka na viti?
Ati kuona simba 500? kwani ni simba wa yuda?
Eti bra ni 900!kwani ni long sleeved?
ati unga ya ugali 200,kwani inakam na mboga?
Ati kuingia marine park Ni 7k ,kwani wako Na ile whale ilimeza Jonah?
ati bash ya kuruka mwaka ni 5000/= kwani tunaruka hadi 2014
Ati kiatu ni 5k kwani inakam na barabara yake??
Ati amarula ni 5k kwani inakam na amapencils na amasharpeners ama amaset?
ati nyama kilo 800/- kwani hiyo mbuzi ilipigania uhuru
Hehe ati nyanya moja ashu, kwani ina kitunguu ndani?
Ati condom 100/= kwani inakuja na anti-virus?
Ati Jersey ya Arsenal ni 3k, kwani inakuja na kamba ya kujinyonga?
Eti yai moja sh 2,000/= kwani amelitaga mama kayaii
eti padlock ya solex 1500 kwani inakuja na watchman?
Ati horror movie ni sh 500/= kwani ni shetani mwenyewe ameact ?
ati kuku ni 1200 kwani imesoma
ati gas 5k,kwani ni fabregas
Ati sabuni 200 kwani inaosha dhambi
Ati radio ya 80k, kwani inashika hadi police station?
ati weave 2k,kwani imetengenezwa na nywele ya samson?
Ati Uhuruto for statehouse………. Kwani Hague kulibomolewa??
Ati mvua ni KIBAO kwani kiangazi ni Blue MOON?
 Ati tai ni 300bob, kwani inakuja na shingo
Ati kinyozi mia mbili, kwani unaacha kichwa ikinyole
Ati mr berry ni 10 bob kwani inakuja na mrs berry wa
ati kio 2000 kwani ni touch screen
ati apple juice ni 2k kwani imetengenezwa na Adams apple
2013 imekawia…..kwani Inakuja na 2014?
Ati potty 2k kwani iko na flash?
ati chips 200 kwani imepikwa na miadi
Ati Kitanda ni 50 k kwani ikona bibi
Ati have a blast kwani mi ni easteleigh?
Ati succes card ni 400,kwani ina mwakenya
Ati unafunga choo na padlock kwani kuna mwizi wa shonde?
Ati PK ni 30 bob , kwani imetafunwa na Ferguson?
Ati pwani si kenya..kwani kenya ni pwanii!
Ati laptop ya 70k kwani iko na Windows za chuma?
Ati pk ashu kwani iko na kachumbari..
Ati yai boilo 30/= Kwani Kuku ilitagia Nairobi Hospital
Ati belt 2k, kwani unaivaa ndethe
we madam 36 tweets per day? kwani mnashindana na nani?

 Compliled by @nairobiwire

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss