These Women… When a Kenyan Man Should Call it Quits.

March 18, 2013
by

Kama dame wako hurave kukuliko……ASHANA NAYE
 

Kama simu yake ina line mob……ASHANA NAYE

Kama anakushow ‘Baibe am broke nitumie 2k kwa m-pesa …..ASHANA NAYE
 

Kama anapoa base iko na Ex wake…..ASHANA NAYE
 

Kama anawatch movie za ma nigga……ASHA NA NAYE
 

Kama anaendaga gym mara nyingi kukuliko……ASHANA NAYE
 

Kama anawatch Wrestling kwa Qtv……ASHANA NAYE
 

Kama anapendaga lift za sare……ASHAN A NAYE
 

Kama yeye ni beshte ya bouncer kwa club……ASHANA NAYE
 

Kama unamwandikia txt paragraph nzima ana reply ‘K’……ASHANA NAYE
 

Kama anapigiwa horn na madere wa ma3 mkitembea kando ya barabara……KIMBIA NANI
 

Kama anakuforwadia text unajua haezi andika……BLACK LIST MTU PAP
 

Kama anahug ma boi alafu anadai ati ‘he’s my cousin’…..HOPE ULIMDUMP KITAMBO
 

Kama anajua kudance bendova zaidi ya madem wa gal a bubble……KWISHA NANI
 

Kama afta kumsambazia bado anatuma ‘please cal me’……UUUUUWI PIGA MTU KOFI
 

Kama ukimuita 4 a date anakam na galz wenzake watatu……BROTHER ASHANA NAYE
 

Ukimwambia ‘I LOVE U’ anajibu ‘Wazi mtu wangu’……ATA USIULIZE
 

Kama anavaaga Safari boots na shorts……HEH SISEMI KITU
 

Kama anakunywa bluemoon mzinga…..ASHANA NAYE RAIYA
 

Kama mkiongea ishu za maana hachangii, zake ni kutingisha kichwa na kusema ‘enyewe’….. Mboss

Kama analala akiwa amevaa T- shirt ya bamburi cement na trouser material…..ASHANA NAYE
 

Kama akipika chapo zinatoka shape ya ile 5bob kubwa…… boss unangojeanini?
_______________ __________ ________
ASHANA NAYE

Courtesy

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Don't Miss