BEWARE of This New Con Trick In Town

March 24, 2013
by

Admin im one mad person n i want to expose something that is going around in town and nipoa watu kichanuana. there is a gang of conmen who operate maimly around otc,afya center,ambasadda,old bus station hizo areas tu. so it was on monday nimetoka classes naenda home.nachukua hizo hoppa kencom then this old mama approaches me sa si unajua hali ya kuwait kwa line unabrowse kiasi,she tells me ati amekam n she camt reach his son mwemye amekam kuons.alianzs na kisapere nikamshow me sielewi then akaanza swa.apparently she came in town to visit his son na hajui how to reach him.akanitolea a paper enye aliandika s no.akasema nimkol.i couldnt suspect anything coz huyu ni nyanya age of my nyanya calling tbat no.it just went unanswered.then we tried over n oveer ikajam so me nikamwacha gari ilishakam nikaenda.later did i know this old mama is part of the con gang.

Sasa kwa gari haws wasee wswili they were sitted 2 seats ahead of me wanabonga in high tone ati kuna mwizi amemwibia phone tao na ati huyo mwizi ni fala bado ameacha 4n on,yule mwinfine akasema ni ukweli?ebu lete no nikol si wakapiga saa hizo watu wanawaangalia.then kucol ile no men phone yanfu si ndio inalia then huyo niga wanakam ati si unaona ndio hii phone yangu.washaaleta drama ati mwizi mwizi ati ndio hii phone yangu me niko confusswd hizo times b4 nijue watsap wasee wamenirukia na beatings hata wasee wengine kwa gari wakajoin.then konda akasimamisha gari ati hataki damu kwa gari yake wanitoe wawnde waniuwe nje. then hao wasee waksnihanda but just then mother fulani akasema ebu ngojeeni akatoa gun later i realised ni polisi akasema nani 4n yake iliiviwa yule msee akaitika ujue hiyo time ana phone yangu akaambiwa a switch off then on.huyo boiz akasense danger kuswitch on hajui pin hapo sasa nikaambiwa niwke pin kama ni yangu mimi sinikaingiza poa.hao wasee walipewa beatings mbaya huyu mother akawipa bangles sasa wale waswe walinibeat kwa gari wakaanza kunionea huruma.kuna tena mother mija akaamua kunipeleka hosi juu nilikua bruosed kiasi.

So what made me even more mad jana jio nilopoga beshte yangu afya center then the same same nyanya akakam na ile vako imahina hakunotice ni mimi thoe ni friend yangu alimshow amsave no.this time nishajua wats going on nikakanyagia.boy akapiga hakuna msee anacatch huyo nyanya akaduck then dakika kiasi hata b4 apande gari huyo nyanya cjui imekuaje amekam ka analia ameibiwa simu na alikua na wasee wengine wako like leta no yako tupige.same trick 4n ya beshte ikalia ujue hiyo time watu wametusarroung then huyo nyanya anasema ati ni 4n yake.wale wasee wake washakam wanataka kumvunja then nikashout wacja kwanza phone izimwe then nyanya aweke on ka ni yake.si akashindwa na wale boys venye waliona wakahepa.nilishikwa na hasira si kwa ubaya but niliwahi huyu nyanya bare moja mbayar nikamshow alinikon juzi. anyone alikua afya center jansa around 7 aliona drama.

So admin chanua wasee wajue this gang is using old women.wen u cal the no it goes unanswered but your no remains.hawa watu will panda the same mat umepanda they watch yu closely n on the way watasema mtu ameiba 4n tao ns bado iko on then they call rem they have your no which u did wen u tried to help the nyanya.so wen they call ‘their stolen’ phone ni no yako wanacall.then nobody will believe you pgone yako itachukuliwa na beatings utapewa. people be cautious with helping just anybody.guard yuor info kama phono no kabisa.then watu wa mob justice b4 u beat someone listen n find the truth first unaeza ua an innocent person. let peoplw learn.

SHARE THIS WITH YOUR FRIENDS N FAM.BE SAFE
Nairobi Exposed 

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss