Methalis Made In Kenya.. (Hilarious)

November 26, 2012
by

1.Umoja ni estate,utengano ni setbook. 
2.mbio za marathon huishia kwa balcony.

 
3.cha mlevi huliwa na MUTUTHO.

 
4.asiyekubali kushindwa,atakuwa…..

 
5.Ukistaajabu ya musa,hujasikia ya ONYANCHA.

 
6.mpiga ngumi ukuta ni SONKO.

 
7.Usipoziba ufa,watu watakuchungulia.

 
8.mgema akisifiwa mututho huingilia kati.

 
9.kidole kimoja ni jina ya church ya HELLON.

 
10.asiyefunzwa na mamaye,hufunzwa na GOOGLE SEARCH.

 
11.mwenda tenzi na omo,marejeo ni ARIAL

 
12.leo ni leo, msema kesho ni fan wa ARSENALI!!

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss