How To Know if You Are ‘Mshamba’

January 10, 2013
by

Tumulike TABIA ZA USHAMBA SASA.
1. Ka ukiwatch game ya Futa ni lazima upunguze volume ya TV ndo uwashe Radio uskie nayo, wee ni mshamba.


2.Ka wee ni dame na unavaanga skirt, na short ya Jeans ndani wee ni mshamba.


3.Ka we ni dem na unavaanga stockings kwa kichwa ukienda kulala, hiyo ni ushamba kuruka.


4.Ka we ni dem na unavaanga Ngotha Oversize ama Kamisi zinashinda skirt kwa urefu, ama tu Kamisi. Unahitaji maombi.


5. Ka we ni Boy na unavaanga official na Timber, we ni mshamba.


6. Kama kwenu mnavaanga Sunday best siku ya sikukuu pekee hiyo ni ushamba.


7.Ukipanda Mat iko na Ng’oma then uanze kuimba along kwa sauti ya juu na ku dance, wee ni mshamba.


8.Kama uko over 20yrs na kwenu bado unaitwa ati,”Toto’ ‘Babu’ ‘Boyi’ ama Baby. Nkt! Nikikupata ntakuweka Kibare


9.Kama budako ameweka vitambaa za Nyumba kwa viti za gari yake, yee ni mshamba.


10. Kaa First time yako ku join Campo/Colle, ukaingia class na ukasalimia kila mtu, wee ni mshamba.


11. Kama unavaa stunnerz usiku wewe ni mshamba.


12. Kama we huanika Ngotha kwa Clothes line in Public we ni mshamba.


13. Kama unavaanga Ngotha ya Kitenge, tunaomba serikali ikurudishe Nigeria.

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss