Hilariously Revised Mututho Laws.

January 31, 2013
by

1. Ukifanya order, unaturia, usishide umekubusha waiter, yeye ni mutu mzima anakubuka.


2. Ukirewa urewe peke yako, usianze kuiba nyibo za Kigooco huku. Ukitaka kuiba eda crusade.


3. Huku hakuna dance floor. Kwa hivo usika dance huku, hii ni bar, sio carnivorous (Carnivore)


4. Urinal ziko. Kukonjoa ni sawa. Ukitakahanja kubwa,mariza fobe yako uede ukakumie kwako. Huku hakuna choo. Tunauzaga fobe si Ugari.


5. Kufugia waiter jicho uwache. Unamfugia jicho kwani umeskia ni daktari wa
macho.


6. Ukinunuria waiter pobe, sio kumaanicha ati utaeda na yeye kwako. Ako hapa
kuuza fobe, sio kuuza mwiri, mununuriena uede.


7. Kumwaga mwaga fobe kwa meza tumekataa! Urinunua ukunywe ama
umwage?


8. Huku hakuna Maraya. U
kitaka maraya kuja na wako, na akuwe maraya anaereweka tafathari.


9. Wakati AntoNeosoul (hehe) ama SalimJunia anaiba, tafathari usiibanishe na yeye. NYAMAZA watu warikuja kusikiza Rua, sio wewe. Ukitaka kuiba, tuabie tukutafutie Saturday yako.


10. Kushika shika waiter matako ni hatia! Shika matako yako, huku si bedroom.

11. Maneno ya CORD na JUBILEE perekeniFesbuk. Sio hapa!


12. Kuwekewa mchere kwa fobe si kitu kubwa, ukiwekewa, unaitoa na unaederea na Fobe yako kama kawaida.


13. HAKUNA kurara kwa Meza! Meza sio kitada. Kama umerewa, eda ukarare kwako.


14. Ukiibiwa pesa eda ukastaki kwa borithi, si ati ukuje kusubua Manager.


15. Tip ni razima! Kama pesa yako haitoshi ya tip, nunua pobe take away ukakunywie kwako.


16. Huku hakuna bouncer! Rakini ukireta nyokonyoko tutakunyorosha kama Mukora.


17. Usitapike huku. Hii ni Bar, sio Clinic ya Watoto. Unatapika kwani uko na Miba??

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss