Finally, The Best of Ujinga Ni.

March 19, 2012
by
– Kumwagilia plants Tusker ati una refresh their roots.  
-Kukatia chali wa church hadi una offer kumlipia sadaka.  
-Kuenda media house kuomba kazi yakuosha vyombo vya habari.
-Kupeleka slimpossible turkana.
-Ujinga ni nurse kuamsha mgonjwa ameze dawa za kulala
-Ujinga nikuenda Sunday school boarding.
-ujinga ni dem kuvaa tisho ya nimechill na ako ball
-Haiiiiiya! Ujinga ni kuchana veve na lollipop, ati ni swag. 
-Kusave mpango wa kando private no! Alafu anakutext!
-Ujinga ni kuambia kiwete akanyagie stori
-Ujinga ni….. Konda wa mat za Buru kusema “Jogoo mbao,Jogoo mbao” alafu Mluyha anasema “Nifungieko pili”.
-ujinga ni kuapply lipstick kwa forehead kumake up mind!
-Ujinga ni kudhani first born wa mama mboga anaitwa “mboga”
-ujinga ni kureduce volume ya radio ndo usome sms
-A luhya man, fainted outside Kenchic. A crowd gathered n someone from the crowd said “give him water, he will be fine”. He opened one eye n said “toka hapa wewe. Ningetaka maji, ningefaint nje ya Nairobi Water Company!!”
-Ujinga ni kushow Uhuru aende hague na national anthem inaxema tukae na uhuru
 © nairobiwire.com

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss