Bongo Artist Diamond Was at JKIA and He Captured The Fire on Camera

August 7, 2013
by

Thousands of travellers were this morning affected by the huge fire at Jomo Kenyatta International Airport.

Among them was Tanzanian artist Diamond Platinum.
The bongo singer had just landed from South Africa, on his way to Tanzania. Narrating the incident, Diamond said that all passengers in his plane were whisked to waiting bus, and booked at a Nairobi hotel. 

Hapa unapo paona ndo hali ilivyokuwa majira ya saa 1 asubuhii ndani ya Nairobi…. Niliwasili Alfajiri ya saa kumi na moja nikitokea nchini South Africa nilikuwa napitakubadilisha ndege kurejea nyumbani Bongo Lakini maswahibu haya yaliyotokea majira ya saa 1 asubuhi huku mimi na abiria wengine tukisubiri  kwenye ndege ghafla tulikuja kujuzwa kuwa hali ya usalama pale Airport haikuwa shwari na tulivyotoka kwenye ndege ndio niliposhudia uwanja wa ndege wa Kenya ukiwaka moto….

Hadi sasa sasa chanzo cha moto ule uliosababisha kuwaka kwa Airport bado sijajua lakini
hii imepelekea safari kukwama,sina uhakika kama tutaweza kuja Dar tena au Ndege kama zitaweza kuruka kwa leo maana hapa tulipo wanatupeleka hotelini, Imewalazimu Uongozi wa Immigration kuja na kutugonga mihuri kwenye basi la wasafiri na kuwekewa usalama wa mabegi yetu….

 Below are some of the pictures he posted on Instagram and blog.


© nairobiwire.com
Follow @nairobiwire

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss