SK Macharia, Mike Sonko and Janet Mbugua’s Facebook Conversation – Hilarious

March 19, 2013
by

S.K MACHARIA updates,
“I cant take this no more!!…..”
Uhuru,Jimmy Gathu,Ruto and 1,856 others “LIKE” this…

MAMA NGINA:
Na bado…

UHURU:
@Mum,pwahahahahaha,aki Mum! You can say that again! Hatutaki Upara!

BETH MUGO:
@Auntie,hehehe,ati na bado?? @Cuzo,pwahahaha, wakileta Upara…fimbooo….chapa!

SONKO:
@Gai Gai Gai,Uhuru aki familia yenu ni ya machizi ! Pwahahaha,ati upara? @S.K Macharia,naona sasa upara itafika kwa matako! Lol!

JIMMY GATHU:
@Pwahahaha,walai Sonko wewe ni fala! Ati manini? Wah,sisemi kitu…

S.K.MACHARIA:
@Jimmy Gathu,I thought you respected me…*wish I knew*

JIMMY GATHU:
@S.K Macharia,to be honest…I respected the MONEY….haha,not YOU!

FRANKLIN WAMBUGU:
@Jimmy,DAMN,YOU READ MA MIND!

LUCY KIBAKI:
@pwahahahaha,aki ya mungu You guys are killing Me!

ROBERT ALAI:
@Lucy,I already tweeted that You DIED a week ago!

LUCY KIBAKI:
@ Arai(Alai) warai nikikushika nitakugonga kama karai ya mayai….

SONKO:
@Lucy,hehehe,ma-rhymes nazo! Ungemalizia na “Mpaka Uzirai…” haha

JULIE GICHURU:
@S.K Macharia,RELAX…I,Lilian Muli and Janet Mbugua,we got your back!

LILIAN MULI:
@Julie,speak 4 uaself…

JANET MBUGUA:
@Lilian,I thot U were 4 real…SMDH

KALONZO:
Ni kama ndrama,ni kama vindeo,hehehe

NGILU:
@Kalonzo,puh-leeeze,iyo swag ishaachapa,get a better line…. #water melon

ABABU NAMWAMBA:
@Uhuru,sa ju Jeff Koinange ilienda,unaplan kuweka nani kwa CAPITAL TALK? Jaguar?? Hahaha

MUTHAMA:
@Ababu,JAGUAR ni nani??

RINGTONE:
Wah,ati Jaguar ni nani ? Enyewe Analogue ni Analogue tu! Nani hajui Jaguar?

REDSAN:
@Ringtone,atleast 2najua Jaguar,swali ni…Je,WEWE NI NANI??

RINGTONE:
@Redsan, puh-leeeeze,I’m a Gospel Artist!

ROSE MUHANDO:
Pwahahahaha, *gospel artiste*…Kama Ringtone ni Gospel artist,si SIZE 8 ni bibi ya Pastor?

MARY WAMBUI:
@Muhado,pwahahaha,Gai fafa! Warai unafanya nicheke mpaka mabeshte wanafikiria niko na wazimu!

ORENGO:
@Mary,si already unakuwanga na wazimu? Lol !

KIBAKI:
@Orengo,pwahahahaha,Gai ,unafanya nimwage chai !

LUCY KIBAKI:
@Kibaki,UNAFANYA NINI ONLINE? Umemariza kupack boxer zako? Unajua tunahama 26th March na uko hapa tu unafrat(flirt) na Mama Winnie!??

MARY WAMBUI:
@Orengo,nitakugonga iyo mengo nikuwache ukiwa mapengo!

SONKO:
@Wah,mabibi wa Kibaki wote ni ma-rhymes tu!

WAITITU:
@Sonko,pwahahahaha,kumbe hata wewe ume-notice??

ESTHER PASSARIS:
Hey Guys,aki pliz,open this link and LIKE MY PHOTO plz plz,I win a competition,plzzz guys,LIKE THE PHOTO,plzz

FRED GUMO:
@Waititu,Naskia hata wewe ume-file petition? Hehehe,how do U xpect to get favour frm those judges wen U hav a criminal case pending in almost every law court in Nairobi?

WILLY MUTUNGA:
@Gumo,pwahahahahaha! SMDH

KABOGO:
@Hehehe,ati naskia SUNDAY LIVE itakuwa ikiletwa na Julie Gichuru na Mwala, haha

SAKAJA:
@Kabogo,hahaha! Wewe ni chizi! Mwala ataweza kufikia desk ya News? Na naskia kwa “WHO OWNS KENYA” next week wataleta Wilbroda! Hahaha

BALALA:
Ati Wilbroda? Pwahahaha,ama Awinja!

RUTO:
Buahahahaha,ama Kawira! Aki nyinyi!

BETH MUGO:
sa ju Job Mwaura ameenda K24,Nani atakuwa akileta Mgaa Gaa na Upwa? Raila?? Hahaha

MWAKWERE:
Ati Raila? Hahaha,enyewe Raila anafit iyo sector ju ata yeye siku hizi anagaa gaa na upwa ….#hustler

MUTULA KILONZO:
Atleast K24 wataanza kuleta program mpya sasa…for 5 Years wamekuwa wakileta proggy moja tu bana!

KALONZO:
@Mutula,gani hiyo??

MUTULA:
@Kalonzo,ingine hapo ya Pono…Hehehe,kuna madame wawili hukam kumangania studio kila friday usiku, pwahahahaha

MUTHAMA:
@Mutula,hahahaha,ati pono? You Guy!

KIMEMIA:
Wasee mmeskia ati jana Raila akiwa COAST alidai ati alishinda kura na 1 million votes?? Lolest!

KUTUNY:
Enyewe shida ya madawa ya kulevya COAST imezidi sasa…yaani mpaka ime-affect Raila bana!? Wah!

NJERU GITHAE:
Hehehe,msee hata hajamaliza masaa mawili COAST na effects za madawa zishaanza kujionyesha! Pwahahahaha

WETANGULA:
@Njeru,unabonga kuhusu madawa na JUBILEE ndio imejaa ma-drug lords? Sonko,Uhuru,Kabogo…Jaugar…

MARY WAMBUI:
@Njeru,kwakwakwa,Gai,Datheka Nginya Dathuria tui tui tui !

NJERU:
@Mary,pwahahaha, wí na ma??

MARY:
ítíkia kana urege….Dathuria ta kana! Tui tui tui ,hohohoho

*S.K MACHARIA DEACTIVATES ACCOUNT*

Via Cabu Gah

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss