Sonko Asks Mutula Kilonzo For Kethi’s Number – Hilarious on Facebook

March 28, 2013
by
“niaje mtu nguyaz. Siku mob jo, I hope hakuna beef. Btw my learned friend, hiyo number ya Kethi niaje?”

*Oraro and 65 others like this*

Kutuny Comments: manze sonko jo! Umeamua round hii ni wasomi. Unadaisha kumvutia nangos? Wazi wazi, alafu mi pia unikumbuke.

SONKO: kutuny we nawe na sheng zingine za stone age! Ebu toa ufala na ushamba hapa, nabonga na wasomi.

KUTUNY: ooo, ni hivyo?

SHEBESH: *Ahem!*

MUTULA: we Kioko Mbuvi, who told
you my daughter is for hooligans?

WAITITU: pwahahahaha, ati hoorigans!! Sonko si uangukie Shebesh
manzi wa nai ka mutula anaringa hivyo?

PASARIS: ati manzi wa nai? Mscheeeeeew!

MURUNGI: hehe, aki Mutura (Mutula) si una matusi!Mwabie anyemeree Shebesh.

KABOGO: tihihihi. Murungi ni ‘MUTULA’,
si ‘MUTURA’. Mutura ni ile sausage ya masufferers ka akina Waititu.Hehe,KUNG’OA NAYO!

Murungi: @Kabogo kung’oa nyanyako!! Pedra (pedler) wewe!

SONKO: enyewe hii story ilikua yangu
na Mutush (mutula), sijui nyi nae mmetokea shimo gani?

MARY KIBAKI: @Sonko kwani mriachana na Chebech(Shebesh)?
ROREST!

MURUNGARU: kweli hapa watu wana
chida ya matamchi. @Mary na Murungi sijataja majina yenyu
msinimeze.

KEITH KILONZO: @Sonko una degree
ama masters ngapi? Ama we pia una zile degree za Punjab University huko India?

*Kidero and Orengo like this*.

PETER KENNETH: @Keith ebu niflash…0722….
.
.
#Mike Sonko removes post# 

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss