How To Be A Good Kenyan Lady.

February 28, 2013
by
HOW TO BE A GOOD ‘KENYAN’ LADY!

Jua kutembea.. Vizuri si kutembea kama LIKOBEE ule wa ile kipindi iliwa inaitwa VITUKO ya KBC ama Johhny bravo!! u are a lady pliz … Hapana tembea kama mtu wa mjengo alar!

Jua kuongea..vitu kama khai..woishe..powle na az in..huongezea wewe kua mtam kuongea nawe..sio kuongea na CAPITAL LETTERS ka mluhya ameona ugali!

Have ua own swag ikifka ni kucladi..jua ua type of body na zile nguo znaambatana/znafaa ..sio wengine naonanga..mtu ako na MATAKO JUU JUU ama haga inakaa ilikanyagwa na vitz na bado anainsist kuvaa trouser! Mwingine akona ma alama mob kwa miguu na bado anakazana kuvaa miniskat! Nktest!

Jua wen to blush n wen to be serious..si kublushingi hata nkikukoll ama ukinifkiria..nk­t! .. Kwani wewe ni mtoi wa praimary?!?

Jua wen am sapozd to koll u..sio kila saa unashinda ukiexpekt nkupigie na kukutext malovey dovey..kwani tutakula hizo text ama uliskia mi ni mtoto wa Bob Con me More ati slipishwagi kredo??

Jua zile viatu znakufaa..sio kuvaa high heel alafu unaanza kutembea kama soldier wa KDF ananyemelea alshabab!! Ama unaanza kutembea nikama mtu amekazwa na shit!

Jua aina ya miguu zako pliz..ka znakaa za stand ya stove ama post za stima kukonda..kip off mini skirts pliz!!

Jua kukua na hygine… u are a woman rem??? sio kunuka makwapa kama mtu wa mjengo… sasa wewe ukinuka makwapa unataka Matendechere anuke nini??? nkt

Unataka niwachane na mabeshte wangu we ndo utakua unanibuyia pombe?? kubaff!!

Hii kwanza..kulia lia kama toi ulifunzwa na nani??ama macho zako znakuaga na vitunguu ndani 24 saba??aiii..sa ukilia lia ivoo.. mtoi wetu anafaa kujiua ama???
chidwo!!!

Punguza moshènè na nyenyenye mob.. Kwani wewe hulipwa kuongea???

Si ati chali akikuja kwako kukukatia na vybz za kitoto unaingia box kifalafala… 2mek it worse, kuna madem wenye hukatiwa na kuchapwa maji within 24hrs of meeting… Hiyo si hata heri ukakue member wa koinange street na ukue ukiget salary…

Ku upload pics za chali yako ati aaaww he means the world to me… He’s my boyfie na labda chali mwenyewe anakaa nikama aliponea fire tragedy… Yaani, yeye na scarecrow hakuna tofauti

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss