The 14 Pombe Rules, As Seen In Othaya

January 7, 2013
by

1. Kama fobe ni kununurio, razima uende na pace ya Mnunuzi. Akikunywa porepore, kunywa porepore. Akikunywa na haraka, pia wewe kunywa na haraka.

2. Mwenye kununua fobe ndio anafaa kupeana story. Wanunulio waskize story sa mnunuzi.

3. Ni hatia kukosa kusheka wakati mnunuzi ametoa jokes. Hapa tuko biasharani, kukosa kusheka itafanya mnunuzi aboeke aashe kununua.

4. zire fobe dogo, kawaida sinakujaga biribiri. Kama hutaki kununua biri biri, tumia waiter sms umerezee arete moja moja.

5. Hakuna kukataa fobe ukinunulio. Kama umeleo kabisa, weka stock.

6. Stock ni ukikubuka. Hatukubushagi mtu ile stock aliweka jana.

7. Ukipata bibi yako hapa na mwanaume mwingine, usirete vita. Toka porepore, enda kwa bibi ya huyo mutu ujilipishie. Usituhalibie biachara.

8. Ukinunulia maraya wa mwingine fobe, usione kama amekuwa wako ama kumuoba naba ya simu. Kuja na wako.

9. Soea kupeana pesa imetoshea, sababu ma waiter wengi hapa husahau kuludisha change.

10. Usizoee kueleza bibi yako uko kwa hii bar. Ma bibi wengine ni wasimu, wanaeza kuja na watoe vita kwa bar wakikupata na maraya.

11. Mabo ya kuiba mali yako wakati umeleo upunguze. Utafanya waisi waskie watuvamie na saa hio hauna kitu.

12. Kuingia na makari zikiwa kwa mfuko ni same na kuua mtu. Ukipatikana, utafishwo.

13. Bakishanga pesa ya bodaboda. Pale karibu na River Thuti pamejaa waizi. lazima unyongwe.

14. Hakuna kukopesheo fobe. Lakini ukitaka, asha simu na uongese interest ya 30% 
 By Wanjohi Kigogoine

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss