HILARIOUS – Kenyans Reactions To The Sh13 Million Samsung TV

January 6, 2014
by

tvLast week, Samsung unveiled the world’s largest Television – a 110 inch Ultra HD TV that will retail at around KSh13 million. As is characteristic of Kenyans, they embarked on ‘investigating’ what is so special with this TV, that it will cost more than a decent house.
Here are some of the best Tweets under the hashtag #TvYa13Million
#TvYa13Million unapiga story na news anchor wakienda break
#Tvya13million¬†giniwasekao yawa… Inaweza convert bad news to good news with rewinding cap. na ku exhaust overdue news
#TvYa13Million inaakishwa na makaa
#TvYa13Million inaonyesha the hotties in ur area.. it be like ‘Hotties Nearby’
#TvYa13Million inakupea breakfast in bed na hot bath then we save n buy
Still #TvYa13Million inaweza leta late night news mapema
Hii #tvya13million inakuletea swale mdoe wakiwa na babu yake
#TvYa13Million Latenight news anchor anakam na night dress”
#TvYa13Million inaeza kusaidia kuwatch your weight.
#TvYa13Million ina sensor everything Mututho anasema
#TvYa13Million badala ya kuscan stations inascan single lightskins in your area.
#TvYa13Million Inaslide kwa carpet rooney akiscore?”
#TvYa13Million wimbo wa nick mutuma ikiplay inajimute
#TVya13million inaonyesha light at the end of tunnel
#TvYa13Million inajimigrate to digital pekee yake?”crazy lol
ukiona porn kwa #TvYa13Million u can join in the action
#TvYa13Million Kwani inakuonyesha dhambi zako zote?
#TvYa13Million kwani inaonyesha Mungu akisikiliza maombi.
#TvYa13million inashika hadi Kass Tv ukiwa ronga.
#TvYa13Million ukiwatch Wedding show ikifika time ya kula cake unahandiwa piece yako
#tvya13million…ati ur given free samples after adverts..
#TvYa13Million. Heeee wacha niskie remote imepotea..Divorce pap!!!!
#TvYa13Million Ukiwatch news vicky na larry wanatoka kukuhug kwanza.
#TvYa13Million Inacatch mafeelings esp tym ya soap opera.
#TvYa13Million Public Holiday inakuamsha na National Anthem
Larry Madowo na Victoria Rubadiri wana kuserve supper kwanza kabla wakusomee news.”
#TvYa13Million Inakuandikia lyrics za Khona
Hahahahaaa #TvYa13Million unaeza osha vyombo vya habari? Hilarious!!!

Leave a Reply

Your email address will not be published.Don't Miss