“Kifo Cha Mende Cha Isubiri Jubilee” – Moha Jicho Pevu Walisema kifo cha mende ni kulala chali. Hakika aliyesema haya hakukosea. Serikali ya Uhuru Kenyatta kwa mtazamo wa wengi ni kama mende anayesubiri kifo January 18, 2016 opinion·Politics·TL