lawThis is a true story from the past. I and some pals were arrested on one sunday evening tukiwa walevi. Tukafungiwa cell, nxt day tukawekwa ndani ya mariamu na kufikishwa Kibera Law courts. Our charges were kama kawa DD(Drunk & Disorderly).

Kwa wale ambao washai fika court, u know the drill.Kwanza mnafungiwa kwa court cells as u await kesi yenyu. In the cells u will find all kind of petty offenders e.g makanga,walevi and traffic offenders. Usually when u face the judge as a DD offender the best thing to do is kubali mastaka juu ukikataa utapigwa week mbili rumande and u don’t want dat my friend.

So after kukubali judge anawapiga aka small fine/bond.Sasa kama hauna hio pesa unarudishwa hio court cells as u make frantic calls to yr people to kuja and help u. The phone calls are done from one of the corrupt court cops at an additional fee.Incase mtu wako akuje u need to tell him/her to bebana with pesa ya fine plus ya hio mobile costs.

Anyway kitu 11am ndio watu from industrial area remand start arriving for their court cases/mentions.Mimi huwa tuu nikiskianga inda niku fyam bt never seen any wafungwa, it was my first time.

Wasee wanaingia wakijikuna kila mahali manze,and then they look like dead corpses walking…wameparara. Sura nazo ni exhibinje,as in sura zile macho yako na yake ikipatana by mistake ni wewe uta angalia kando.

Anyway wote wakajiseti corner fulani juu prison warden aliwashow ataki sisi tupate chawa bt f*ck the chawa he was kind off doing as a favor,juu hawa watu wangepatiwa a split of a second wangetuibia.Nilikuwa wapi, yeah.wako kwa corner alafu naskia rooster imewakishwa.Hio rooster ilivutwa na watu kama kumi na msee wa mwisho ali inyonya kuinyonya , one would have thot he was smoking his thumbs juu rooster hauoni, unaona tuu kaa moto kwa vidole.

Nimetulia,All this time cursing bro(my bailee) atafika saa ngapi.Juu mafisi wa inda wanatusorora tuu. Kidogo one of the remand mfungwa akaitwa jina..it was something Okello. Okello alikuwa ameletewa maziwa na mkate with his relas(I came to understand they normally do this)

Sasa msee alirudi na hio mkate and did nt go kwa corner ya his fellow wafungwa. Akajiseti corner fulani peke yake. His now facing the wall..his fellow wafungwa can only see his back, Ushaiona NatGeo vile Fisi ukula ikiwa radar? that was the same scene here. Msee anauma loaf kama fisi then teremushas with maziwa then checks his back to see if mafisi wenzake are prowling.I guess they did nt cause Okello was a huge guy but all eyes were on him. Finally bro arrived and bailed me out pheeeeew.

By Saleh (Kenyanlist.com)